DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.11.2026 | Jioni Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.11.2026 | Jioni Swahili Habari leo | Podcast
6 418 просмотров · Трансляция закончилась 5 ч назад
DW Kiswahili
338 тыс. подписчиков
6 418 просмотров · Трансляция закончилась 5 ч назад
Awamu nyingine ya matangazo kutoka hapa DW Kiswahili, katika Dunia Yetu Leo Jioni tuliyoyapa kipaumbele ni pamoja na:-
Hatima ya kisiasa ya Israel bado ipo mashakani baada ya uchaguzi mkuu kushindwa kutoa mshindi mwenye wingi wa kutosha wa viti 61 ili kuunda serikali.
Safari kadhaa za ndege barani Ulaya zimeendelea kutatizwa na vitisho vya mabomu hivi leo baada ya ndege kadhaa kulazimika kubadili mwelekeo au kutua kwa dharura.
00:00 Utangulizi
01:03 Habari - Mkwamo wa kisiasa washuhudiwa Israel
01:54 Habari - Umoja wa Ulaya waipatia Ukraine msaada wa euro bilioni 4.36
03:23 Habari - China yatoa wito wa kupunguza mvutano katika eneo la Pembe ya Afrika
04:28 Habari - Vitisho vya mabomu vyavuruga safari za ndege barani Ulaya
05:23 Habari - Cristiano Ronaldo atangaza kustaafu soka la kimataifa
07:24 Ripoti - Israel yakabiliwa na mkwamo wa kisiasa baada ya uchaguzi
10:32 Ripoti - Republican watikiswa na kupoteza udhibiti wa Bunge
15:03 Ripoti - Vitisho vya mabomu vyazua hofu safari za anga Ulaya
18:20 Ripoti - Mkenya ashinda Tuzo ya Afrika Ujerumani
21:34 Ripoti - Ronaldo ahitimisha safari ya kihistoria na Ureno
24:48 Yanayovuma Mtandaoni
28:42 Hitimisho
#DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.