IBADA YA KWANZA JUMAPILI YA TAREHE 06. MHUBIRI :Hosiana Protas
FPCT MBEZI MAKONDENI
0:00 / 0:00
IBADA YA KWANZA JUMAPILI YA TAREHE 06. MHUBIRI :Hosiana Protas
48 просмотров · 3 недели назад
FPCT MBEZI MAKONDENI
341 подписчик
48 просмотров · 3 недели назад
Kuna nguvu kubwa katika neno la Mungu inayobadilisha maisha na kuleta wokovu wa kweli. Karibu usikilize ujumbe huu wa kipekee kutoka kwa Mratibu wa Injili, Hosiana Protas wa kanisa la FPCT Mbezi Makondeni, akitushirikisha siri na uweza uliopo kwenye Injili Iokoayo.Usiache kutazama neno hili linaloenda kuinua viwango vyako vya kiroho na kukusogeza karibu na Kristo.
#InjiliIokoayo #HosianaProtas #FPCTMbeziMakondeni #FPCT #Injili #Wokovu #HabariNjema #NenoLaMungu #YesuNiBwana #Mahubiri YaYouTube #Kiroho #TanzaniaGospel #Uinjilisti #NguvuYaMungu #Ibada