"SIKU 14 MRADI UANZE" Aweso Atoa Agizo Zito Mbele ya Makamu wa Rais
Toka zamani Tv
0:00 / 0:00
"SIKU 14 MRADI UANZE" Aweso Atoa Agizo Zito Mbele ya Makamu wa Rais
184 просмотра · 2 дн. назад
Toka zamani Tv
156 тыс. подписчиков
184 просмотра · 2 дн. назад
"SIKU 14 MRADI UANZE" Aweso Atoa Agizo Zito Mbele ya Makamu wa Rais
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji unaogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 100 kuanza kazi ndani ya wiki mbili zijazo ili kumaliza adha ya ukosefu wa huduma hiyo kwa wakazi hao.
Aweso ametoa kauli hiyo mbele ya Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi baada ya wananchi kuwasilisha kilio cha ukosefu wa maji safi na salama.
SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...