MBABE ALIYEJITANGAZA AONYWA: “SIKU ZAKO SI NYINGI!”
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
MBABE ALIYEJITANGAZA AONYWA: “SIKU ZAKO SI NYINGI!”
1 403 просмотра · 3 дн. назад
TMC NEWS TV
42,4 тыс. подписчиков
1 403 просмотра · 3 дн. назад
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Dodoma Mjini, SSP Daud Nkuba, ametoa onyo kwa watu wanaodaiwa kutisha na kuwatia hofu wananchi, akisisitiza kuwa hakuna aliye juu ya sheria.
Nkuba amesema hatua zimeanza kuchukuliwa dhidi ya wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu na vitisho, huku akiwataka wananchi kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama ili hatua za kisheria zichukuliwe.
NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#TMCNews #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#TMCNews #Dodoma #Polisi #UsalamaWaRaia #HabariZaTanzania #BreakingNews #ShapingTheFutureTMC