Перейти к содержимому

Jinsi ya Kuchagua Mada za YouTube Zinazopata Views (Beginner Guide)

Mohamed Hafidh Tz

0:00 / 0:00

Jinsi ya Kuchagua Mada za YouTube Zinazopata Views (Beginner Guide)

170 просмотров · 1 мес. назад
Mohamed Hafidh Tz
20 тыс. подписчиков
170 просмотров · 1 мес. назад
🔥 HUJUI UPOST NINI YOUTUBE? Unaweza kuwa na camera nzuri, ukajua ku-edit vizuri, ukatengeneza thumbnail nzuri… lakini bado ukajiuliza: “Leo nipost nini?” 🤔 Tatizo mara nyingi si kwamba huna ideas, tatizo ni kwamba hujajifunza namna ya kuziona na kuzibadilisha kuwa video zinazolenga audience yako. Kwenye Part 02 ya series yetu kuhusu YouTube Growth, nitakuonyesha jinsi ya kuchagua mada za YouTube kwa akili, badala ya kupost kwa kubahatisha. Katika video hii utajifunza: 🎯 Jinsi ya kujua audience yako inahitaji nini 💡 Jinsi ya kutafuta problems ambazo zinaweza kuwa video ideas 🔥 Formula ya Audience + Problem + Desired Result 🔎 Jinsi ya kutumia YouTube Search kupata ideas 💬 Jinsi comments za audience zinavyoweza kukupa content ideas 📊 Jinsi ya kutumia YouTube Analytics kutafuta topics 🚀 Jinsi ya kupata angle yako badala ya ku-copy videos za wengine ⚔️ Jinsi ya kuangalia competition kabla ya kuchagua topic 🎯 Jinsi ya kutumia Broad → Specific kupata mada yenye focus 💡 Na mwisho, nitakuonyesha namna ya kutengeneza ideas 5 kutoka kwenye topic moja. Kitu muhimu nilichotaka kukuonyesha kwenye video hii ni hiki: Topic inakupa eneo. Problem inakupa video. Kwa hiyo kabla hujawasha camera, jiulize: “Ninamtengenezea nani hii video?” “Ana tatizo gani?” “Anataka kupata result gani?” “Kwa nini atake kuitazama?” Ukianza kufikiria hivi, utaacha kutengeneza content kwa kubahatisha na utaanza kutengeneza content kwa strategy. 🚀 --- 🎬 HII NI PART 02 Kwenye Part 01, tulijadili: “Kwa Nini YouTube Yako Haina Views?” Na sasa tumeshuka hatua moja nyuma, jinsi ya kuchagua mada nzuri kabla hata hujaanza kurecord. Lakini bado kuna hatua nyingine muhimu: Umeshapata mada nzuri… je, mtu ata-click video yako? 👀 Hapo ndipo Title na Thumbnail zinaingia. 🔥 Part 03: Kwa Nini Watu HawaClick Videos Zako? Jinsi ya Kutengeneza Title na Thumbnail Zinazovutia Subscribe kwenye Mohamed Hafidh Tz ili uendelee na series hii. ❤️ 💬 SWALI KWAKO: Ni kitu gani kinakupa challenge kubwa zaidi? 1️⃣ Kupata video ideas 2️⃣ Kupata views 3️⃣ Kutengeneza title & thumbnail 4️⃣ Kupata subscribers Andika namba yako kwenye comments. 👇 🎬 Karibu Mohamed Hafidh Tz – Swahili Tech Learning Hub! 🚀 Kwenye channel hii utajifunza teknolojia kwa urahisi kupitia tutorials za hatua kwa hatua kwa Kiswahili. 💻 Topics kuu: 👉 Computer tutorials (Excel, Word) 👉 Google tools (Docs, Forms, Drive) 👉 Programming for beginners 👉 Tips & tricks za simu na kompyuta 👉 Graphic design & software usage 🔥 Mafunzo rahisi, practical na yanafaa kwa beginners. ─────── 🔔 Subscribe kupata tutorials mpya kila wiki:    / @mohamedhafidh255   ─────── 🌐 Nifollow pia: WhatsApp: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU... Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz Instagram:   / mohamedhafidh_tz   TikTok:   / mohamedhafidh_tz   🙏 Asante kwa support! #youtube #youtubetips #mohamedhafidh