#LIVE SWALA YA EID: WAISLAMU WAONYWA MIGOGORO MISIKITINI
NYAMATE DIGITAL
0:00 / 0:00
#LIVE SWALA YA EID: WAISLAMU WAONYWA MIGOGORO MISIKITINI
108 просмотров · 3 месяца назад
NYAMATE DIGITAL
1,33 тыс. подписчиков
108 просмотров · 3 месяца назад
Leo imekuwa siku njema kwa waumini wa dini ya Kiislamu kote nchini kushiriki Swala ya Eid kwa pamoja,jambo hili ni muhimu katika kuendeleza umoja
Sheikh wa mkoa Mwanza Hassan Kabeke pamoja na sheikh wa Msikiti wa Ijumaa Shafii Ayubu wamewhimiza umoja na mshikamano ili kudumisha amani na utulivu katika Misikiti.