Перейти к содержимому

TUSIRUHUSU MAZINGIRA YETU YAWE MACHAFU - DC MTAMBULE

KMC OnlineTV

0:00 / 0:00

TUSIRUHUSU MAZINGIRA YETU YAWE MACHAFU - DC MTAMBULE

97 просмотров · 2 недели назад
KMC OnlineTV
593 подписчика
97 просмотров · 2 недели назад
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule, amewataka wafanyabiashara na wananchi katika Soko la Mapinduzi, Kata ya Makumbusho, kuhakikisha wanatunza usafi wa mazingira na kutoruhusu maeneo yao kuwa machafu.