Historia Ya Maisha Ya PEPE KALLE Part 2
Bolingo Zaire
0:00 / 0:00
Historia Ya Maisha Ya PEPE KALLE Part 2
474 просмотра · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Bolingo Zaire
2,63 тыс. подписчиков
474 просмотра · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Hii ni sehemu ya pili ya historia ya maisha ya mwanamziki PEPE KALLE kutoka pale Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ao Congo Democratic. Kwenye matangazo ya leo nitaongelea kuhusu kazi ya muziki aliofanya mzee Pepe Kalle katika muziki wa Soukous.
Nitaongelea pia kuhusu kifo chake ambacho kinatatanisha sana kutokana na kila mtu alikuwa na maoni yake.
Pepe Kalle alipendwa sana kwenye nchi za Africa mashariki kutokana na mziki wake wa kipekee sana. Utamkumbuka pepe kalle na dansi zake za zamani kama KWASAKWASA.
#pepekalle #historia #congomusic #papytex