Перейти к содержимому

KAKA WA TUNDU LISSU AFARIKI DUNIA, HAYA NDIYO MAHOJIANO YAKE YA MWISHO

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

KAKA WA TUNDU LISSU AFARIKI DUNIA, HAYA NDIYO MAHOJIANO YAKE YA MWISHO

7 502 просмотра · 14 ч назад
TMC NEWS TV
42,6 тыс. подписчиков
7 502 просмотра · 14 ч назад
Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameripotiwa kufariki dunia leo, Novemba 1, 2026. Dada yake, Rose Masesa, amethibitisha taarifa hizo katika mazungumzo na Jambo TV, akieleza kuwa yupo njiani kuelekea Arusha, ambako msiba ulipo. Katika kumbukumbu ya marehemu, TMC NEWS inakuletea mahojiano yake miongoni mwa ya mwisho aliyofanya na chombo cha habari, ambako alizungumzia mambo mazito kuhusu maisha yake. #TMCNEWS #AluteMughwaiLissu #TunduLissu #CHADEMA #Tanzania