Je! Kuwa Mwanamke Kijana kunafungua Milango, Au kunaongeza Vizingiti?
THE YOUTH TALKS PODCAST
0:00 / 0:00
Je! Kuwa Mwanamke Kijana kunafungua Milango, Au kunaongeza Vizingiti?
91 просмотр · 2 мес. назад
THE YOUTH TALKS PODCAST
267 подписчиков
91 просмотр · 2 мес. назад
Je, kuwa mwanamke kijana katika dunia ya leo kunafungua milango zaidi, au bado kunaongeza vizingiti?
Katika episode hii tunazungumza kuhusu jinsia, fursa, changamoto na uzoefu wa mwanamke kijana katika safari ya mafanikio.
Tazama episode kamili na utuambie maoni yako kwenye comments.
#TheYouthTalksPodcast #YouthTalks #YoungWomen #GenderAndOpportunity #YouthVoices