WATU 12 WALA CHAKULA CHENYE SUMU MANYARA
ITV Tanzania
0:00 / 0:00
WATU 12 WALA CHAKULA CHENYE SUMU MANYARA
323 просмотра · 9 часов назад
ITV Tanzania
1,38 млн подписчиков
323 просмотра · 9 часов назад
#HABARI: Watu 12 wamenusurika kifo baada ya kula chakula kinachodaiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Ari, Kata ya Hayeda Hampa, Wilayani Mbulu mkoani Manyara na kukimbizwa katika Hospitali ya Kilutheri ya Rufaa ya Haydom ili kuokoa maisha yao.
Mara baada ya tukio hilo, kaya zilizoathirika zimekutwa zikiwa zimefungwa huku majeruhi wote wakiwa wanaendelea na matibabu wodini chini ya uangalizi wa madaktari.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Haydom, Dkt. Shaban Juma, pamoja na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Dkt. Shedrack Makonda, wamethibitisha kuwapokea waathirika hao na kueleza kuwa hali zao kwa sasa zinaendelea vizuri kufuatia huduma za haraka za kitabibu walizopatiwa mara baada ya kufikishwa kituoni hapo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@itv2tanzania