KUKU WA SEKELA
Aroma Of Zanzibar & Beyond
0:00 / 0:00
KUKU WA SEKELA
91 122 просмотра · 8 лет назад
Aroma Of Zanzibar & Beyond
253 тыс. подписчиков
91 122 просмотра · 8 лет назад
Kuroweka
Mpande 6 ya mguu na paja
Nusu kikombe mtindi
Unga wa bizari nzima – kjk 1 kikubwa
Unga wa mbegu za giligilani (coriander) Kjk 1 kikubwa
Pilipili nyekundu ya unga kjk 1 kidogo
Pilipili manga ya unga kjk 1 kidogo
Tangawizi mbich na kitunguu thom ya kusaga – vjk 2 vikubwa
Chumvi kiasi
Ukwaju mzito – vjk 3-4 vikubwa
Mafuta ya halizeti ( au yoyote) Vjk 3 vikubwa
Maji ya ndimu au limao – vijiko 2 vidogo
Urojo wa ukwaju
Nyanya 2
1 garlic clove
Tangawizi mbichi kidogo
Majani ya nana 5
Majani ya dhania/kotmiri vitawi kiasi 4
Pilipili ya kijani 1 au zaidi
Maji ya ukwaju kiasi Vijiko 2
Chumvi kiasi
kachumbari
Kabagi lilokatwa
Vitunguu vilokatwa vyembamba
Matango yalo katwa vipande vidogo
Nyanya zilokatwa ndogo ndogo
Chumvi kiasi
Maji ya ndimu au limao
Maji ya ukwaju (kama utapenda
Note: Roweka ukwaju kiasi gram 100 kwenye maji ya vuguvugu kiasi kikombe 1. Weka kiasi dakikia 10 halafu kamua utapata urojo mzito ambao utatumia kwa kuroweka kuku. Ongeza maji kwenye ukwaju tena, ukisha kukamua utapata urojo wa uzito wa kiasi , utatumia kwa rojo la pilipili na kwa cabbage kama utapenda
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...
Music courtesy / contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world