KAMPENI YA "ONGEA NA KAMANDA" YA ENDELEA KUSIKILIZA KERO NA KUTOA ELIMU KWA JAMII WILAYA YA HAI
WESTERN MEDIA_TZ
0:00 / 0:00
KAMPENI YA "ONGEA NA KAMANDA" YA ENDELEA KUSIKILIZA KERO NA KUTOA ELIMU KWA JAMII WILAYA YA HAI
370 просмотров · 6 дн. назад
WESTERN MEDIA_TZ
46 подписчиков
370 просмотров · 6 дн. назад
Jeshi la Polisi wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limetoa Elimu kwa jamii Kuhusu mambo mtambuka yaliyopo katika jamii, ikiwemo ukatili wa kijinsia wa aina zote kwa wanawake, wanaume,vijana, watoto na ukatili mwingine wowote, Elimu juu ya ulinzi na usalama, ulinzi unaanza na mwananchi mwenyewe kwakujilinda yeye na kulinda wengine, kutoa taarifa za uhalifu unaofanyika karibu nae, pamoja na suala la maadali kwa vijana na Watoto ( Gen Z)
#amani #nchiyangukwanza #ulinzitanzania #usalamawanguwajibuwangu ukatili_unazuilika_paza_sauti_yako