Vijana waendesha baiskeli kilomita 6,000 kwa siku 55
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Vijana waendesha baiskeli kilomita 6,000 kwa siku 55
199 просмотров · 4 года назад
DW Kiswahili
334 тыс. подписчиков
199 просмотров · 4 года назад
Kutana na vijana 26, ambao hivi karibuni, waliendesha baiskeli umbali wa kilometa 6,000 kwa siku 55 katika nchi sita za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Lengo lao lilikuwa kufikisha ujumbe kwa mamlaka husika kushughulikia changamoto mbalimbali zikiwemo za usafiri katika maeneo ya mipakani. Video na Veronica Natalis. Kurunzi 29.09.21