SHIGONGO AMPIGA SWALI HILI MWIGULU BUNGENI - "TUNA MADINI MENGI - KWA NINI TUSIJIFUNZE NORWAY?"...
Global TV Online
0:00 / 0:00
SHIGONGO AMPIGA SWALI HILI MWIGULU BUNGENI - "TUNA MADINI MENGI - KWA NINI TUSIJIFUNZE NORWAY?"...
284 просмотра · 2 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
284 просмотра · 2 ч назад
SHIGONGO AMPIGA SWALI HILI MWIGULU BUNGENI - "TUNA MADINI MENGI - KWA NINI TUSIJIFUNZE NORWAY?"...
Mbunge wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, akiuliza swali zito bungeni kuhusu usimamizi wa rasilimali za madini nchini Tanzania na namna serikali inavyojipanga kutunza mapato hayo kupitia mifuko maalum kama Sovereign Wealth Fund kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Tazama jinsi mjadala huo ulivyochukua nafasi bungeni.
00:00 – Utangulizi
00:16 – Swali la Mhe. Eric Shigongo kuhusu madini na mfuko wa akiba (Sovereign Wealth Fund)
01:23 – Majibu ya serikali kuhusu utunzaji wa rasilimali na mifuko ya vizazi vijavyo
04:06 – Tangazo: Masaka Schools
#BungeLaTanzania #EricShigongo #HabariZaBunge #GlobalTVOnline #MadiniTanzania
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com