Mikataba ya Magumashi, Wakurugenzi Chanzo Upotevu wa Fedha za Serikali
The Chanzo
0:00 / 0:00
Mikataba ya Magumashi, Wakurugenzi Chanzo Upotevu wa Fedha za Serikali
1 040 просмотров · 11 ч назад
The Chanzo
264 тыс. подписчиков
1 040 просмотров · 11 ч назад
Mbunge wa Kasulu Vijijini, Edibily Kinyoma, amebainisha changamoto zinazochangia halmashauri kupoteza matrilioni ya fedha katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Katika mchango wake, ameeleza namna baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri wanavyokabiliwa na vikwazo vinavyohusisha Wakurugenzi wa Tawala za Wilaya (DT) na Maafisa Miradi, hali inayoweza kuathiri usimamizi wa miradi na matumizi ya fedha za umma.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.