CHADEMA WAMWOMBA DPP AFUTE KESI ZA WANACHAMA WAO ZA UGAIDI KWA MASLAHI YA UMMA.
+255 online Tv.
0:00 / 0:00
CHADEMA WAMWOMBA DPP AFUTE KESI ZA WANACHAMA WAO ZA UGAIDI KWA MASLAHI YA UMMA.
70 просмотров · 1 месяц назад
+255 online Tv.
56 подписчиков
70 просмотров · 1 месяц назад
Chadema kupitia mwenyekiti wa kanda ya magharibi leo 02/08/2026,katika mkutano na waandishi wa habari wametoa rai kwa mkurugenzi wa mashitaka nchini DPP,kuachiwa wanachama wao waliokamatwa kwa tuhuma za ugaidi ikiwemo wanafunzi wao wa chaso,Pia wameonya watu wanaojivika uanachama na uongozi wa chama hicho na uongozi na wakati sio kweli kwa hiyo watawachukulia hatua za kisheria.