Mtoto wa kike anahitaji upendo,muda
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Mtoto wa kike anahitaji upendo,muda
49 просмотров · 5 часов назад
UTV Tanzania
185 тыс. подписчиков
49 просмотров · 5 часов назад
Mwanasaikolojia na mtaalamu wa malezi na makuzi ya watoto wadogo, Siegfred Mbuya, amesema wazazi wanapaswa kuwapa watoto wa kike upendo wa dhati na muda wa kutosha ili kuwajengea uwezo wa kujiepusha na vishawishi vinavyoweza kuathiri maisha yao.
Amesema upendo na ukaribu wa wazazi huwajengea watoto ujasiri wa kueleza changamoto zinazowakabili, hivyo kuwawezesha kupata ushauri na mwongozo sahihi wa kukabiliana na changamoto hizo.