Перейти к содержимому

Mbilia Belle: Historia Ya Kweli ya Maisha Yangu

Bolingo Zaire

0:00 / 0:00

Mbilia Belle: Historia Ya Kweli ya Maisha Yangu

394 просмотра · Трансляция закончилась 1 месяц назад
Bolingo Zaire
2,64 тыс. подписчиков
394 просмотра · Трансляция закончилась 1 месяц назад
Sikiliza historia ya mwanamziki Mbilia Belle alivyoiongeya yeye mwenyewe. Mbilia Belle aliongelea historia hii katika lugha ya Lingala na mimi nimeigeuza katika lugha ya Swahili. Maneno utakayosikia ni yake Mbilia Belle mwenyewe na anaelezea safari yake ya maisha katika muziki. Utasikia kuanzia alipokuwa binti mdogo sana hadi kufikia kuolewa na mwanamziki mashuhuri sana wa rumba anayeitwa Tabu Ley. Utasikia jinsi Faya Tess alivyoingia kwenye kundi Afriza lake Tabu Ley na jinsi Mbilia Belle alivyoachana na mme wake Tabu Ley.