Перейти к содержимому

Kwanini Uingereza inatoa msaada wa kijeshi kwa Saudi Arabia? Katika Dira ya Dunia TV

BBC News Swahili

0:00 / 0:00

Kwanini Uingereza inatoa msaada wa kijeshi kwa Saudi Arabia? Katika Dira ya Dunia TV

9 581 просмотр · Трансляция закончилась 5 часов назад
BBC News Swahili
1,01 млн подписчиков
9 581 просмотр · Трансляция закончилась 5 часов назад
Serikali ya Uingereza imetangaza kupeleka Jeshi lake la Wanahewa katika kile inachosema kuwa ni misheni ya kuisaidia Saudi Arabia, huku wapiganaji wa Houthi wakizidisha mashambulizi yao Mashariki ya Kati. Ndege za kivita zitatumika kulinda miji ya Saudia na miundombinu muhimu ya kitaifa dhidi ya mashambulizi. Maafisa wa Uingereza wanasema hawatatekeleza mashambulizi dhidi ya Wahouthi. #Yemen #SaudiArabia #Wahouthi #BBCSwahili #BBCHabariLeo #BBCDiraYaDuniaTV #koffiolomide Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili