Перейти к содержимому

DIWANI KATA YA MSANGAMKUU AMEKABIDHI LIFE JACKET NA TOCHI KWA WATAFUTA MAZALIA BAHARI

Faruku Ngonyani

0:00 / 0:00

DIWANI KATA YA MSANGAMKUU AMEKABIDHI LIFE JACKET NA TOCHI KWA WATAFUTA MAZALIA BAHARI

79 просмотров · 1 мес. назад
Faruku Ngonyani
924 подписчика
79 просмотров · 1 мес. назад
Diwani wa kata ya Msangamkuu iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Mhe. Mahmoud Sinani amekabidhi life jacke 10 na tchi kubwa 6 ili ziweze kutumika kwa wananchi wanaojishughulisha na utafutaji wa mazalia ya bahabari katika kata hiyo. Mhe. Sinani amechukua hatua bara baada ya siku kadhaa kwenye kata mama mmoja alifariki dunia kutokana na kuzidiwa na maji alipokuwa baharini akitafuta mazalia hayo ya bahari.