Перейти к содержимому

ONE TO ONE NA SESSION MAALUM: KUSHUGHULIKA NA AINA YA NDOTO, UFUNUO NA MAONO

Minister Mocky

0:00 / 0:00

ONE TO ONE NA SESSION MAALUM: KUSHUGHULIKA NA AINA YA NDOTO, UFUNUO NA MAONO

7 056 просмотров · Трансляция закончилась 3 г. назад
Minister Mocky
21,8 тыс. подписчиков
7 056 просмотров · Трансляция закончилась 3 г. назад
BWANA YESU asifiwe mpendwa, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada na kipindi cha kwanza cha ibada yetu nzuri ya tarehe 07 Mei 2023, inayokujia na kukufikia mubashara kutoka kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam. Ibada hii ya kipindi cha kwanza ni maombi ya awali ya mtu mmoja mmoja maalum kabisa kwa ajili ya kushughulikia changamoto zote ikiwemo kuanza vitu na kutokumaliza, kuanza vitu vinakufa na kufanya vitu nje ya muda. Pia tuna session maalum ya maelekezo maalum kwa WAFANYAKAZI NA WAFANYABIASHARA. Kipindi hiki kina kichwa cha somo "KUSHUGHULIKA NA AINA YA NDOTO, UFUNUO NA MAONO YANAYOTUMIKA KUKUZUIA KUFANIKIWA KWENYE BIASHARA NA KAZI" kutoka kitabu cha Zekaria 10:2, "Kwa maana vinyago vimenena maneno ya ubatili, nao waaguzi wameona uongo; nao wameleta habari za ndoto za uongo, wafariji bure; kwa sababu hiyo waenda zao kama kondoo, wateswa, kwa sababu hapana mchungaji.". Kipindi na ibada hii maalum inaongozwa na mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.