Перейти к содержимому

MAALIM SEIF AKIZUNGUMZA NA WANANCHI ZANZIBAR

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

MAALIM SEIF AKIZUNGUMZA NA WANANCHI ZANZIBAR

25 658 просмотров · 6 лет назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
25 658 просмотров · 6 лет назад
Mgombea Urais Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo wanzanzibar watamchagua na kuwa Rais jambo la kwanza ndani ya mieze Sita nikufanyika kwa katiba Mpya ya Zanzibar. Hamad ameyasema hayo leo katika viwanja vya kibanda maiti mjini Unguja wakati alipokua akizungumza na maelfu ya wanachama wa Chama hicho.