DAR PORT YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA BANDARI
CLOUDS HABARI
0:00 / 0:00
DAR PORT YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA BANDARI
18 просмотров · 16 ч назад
CLOUDS HABARI
1,97 тыс. подписчиков
18 просмотров · 16 ч назад
DAR PORT YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA BANDARI
Bandari ya Dar es salaam imeanza vyema kwa mashindano ya Bandari ambayo yameanza kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali mkoani Morogoro.
Katika mchezo wa kamba Dar Port wanawake imeshinda dhidi ya Bandari ya mtwara, wanaume wakitoka suluhu kwa mchezo huo dhidi ya bandari ya Mtwara, waking'ara poa katika michezo ya Netball na wavu.
Awali akifungua mashindano hayo Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amesema michezo hiyo ni muhimu katika kuongeza hamasa ya ufanyaji wa kazi na mahusiano mema mahala pa kazi huku akisisitiza wanamichezo hao kutumia michezo hiyo kuonyesha vipaji walivyo navyo na uwezo wao michezoni.