NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Q Chief afunguka 'kinaga naga' aliyopitia
Azam TV
0:00 / 0:00
NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Q Chief afunguka 'kinaga naga' aliyopitia
27 117 просмотров · 7 лет назад
Azam TV
3,33 млн подписчиков
27 117 просмотров · 7 лет назад
Ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva na msanii mwenye hadhi kubwa akiwa na mchango mkubwa wa kuifanya Bongo Fleva kuheshimika na kuthaminika.
Q Chief amepitia mengi kuanzia kwenye maisha binafsi hadi kwenye maisha ya sanaa. Amefunguka mazito kwenye Nyundo ya Baruan Muhuza iliyoruka Alhamisi ya Agosti 15, 2019 saa 1:00 usiku ndani ya AzamSports2.
Ni yapi ameyaeleza? Fuatana na Baruan Muhuza 'mwanzo hadi mwisho'.