VIJANA RELI WAGOMA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU KUBADILISHIA MATUMIZI, MKURUGENZI WA MANISPAA AFAFANUA
Faruku Ngonyani
0:00 / 0:00
VIJANA RELI WAGOMA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU KUBADILISHIA MATUMIZI, MKURUGENZI WA MANISPAA AFAFANUA
59 просмотров · 1 ч назад
Faruku Ngonyani
923 подписчика
59 просмотров · 1 ч назад
Asubuhi mapema ya Nov 06,2026 vijana wa Kata ya Reli walikusanyika kiwanja cha kucheza mpira wa miguu mara kuona mashine ya kuchonga barabara imepaki kwenye uwanja huo ikisubiri kuungwangua uwanja ili uweze kutumika kwa kufanya maegesho ya magari makubwa yanayopakuliwa kutpka bandarini.
wananchi hao wameleza kuwa mchakato huo hawakushirikisha hivyo hawapo tayari kuachia uwanja huo kwani bado wanautumia kwenye masuala ya michezo ya mpira wa miguu..
FULL VIDEO TUMEKUWEKEA HAPO JUU.