Перейти к содержимому

WAZIRI MAKAME AFUNGUA WARSHA YA KUTOKOMEZA KICHAA CHA MBWA

kilimo tv

0:00 / 0:00

WAZIRI MAKAME AFUNGUA WARSHA YA KUTOKOMEZA KICHAA CHA MBWA

10 просмотров · 1 дн. назад
kilimo tv
491 подписчик
10 просмотров · 1 дн. назад
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Suleiman Masoud Makame, amefungua warsha ya Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa Zanzibar, iliyowakutanisha wadau kutoka Wizara ya Afya, Kamisheni ya Maafa na kamati za Mazingira kujadili mikakati ya kukabiliana na ugonjwa huo. Warsha hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Kilimo, Maruhubi.