Перейти к содержимому

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Aongoza Ukaguzi wa Maandalizi ya Maonesho Pemba

kilimo tv

0:00 / 0:00

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Aongoza Ukaguzi wa Maandalizi ya Maonesho Pemba

62 просмотра · 3 нед. назад
kilimo tv
491 подписчик
62 просмотра · 3 нед. назад
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba, Mhe. Mgeni Khatib Yahya, ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama kukagua maandalizi ya Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani katika viwanja vya Chamanangwe. 🌱 Maonesho yatafanyika 8–17 Oktoba 2026.