SERIKALI YA ZANZIBAR YATOA MSUKUMO KATIKA SEKTA YA MAZIWA
kilimo tv
0:00 / 0:00
SERIKALI YA ZANZIBAR YATOA MSUKUMO KATIKA SEKTA YA MAZIWA
35 просмотров · 2 недели назад
kilimo tv
490 подписчиков
35 просмотров · 2 недели назад
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Suleiman Masoud Makame, ameahidi ushirikiano wa Serikali katika kuhakikisha Mradi wa C-SDTP unatekelezwa kwa ufanisi na kuleta mageuzi katika sekta ya maziwa.
Akizungumza wakati wa makabidhiano ya magari na pikipiki kwa ajili ya mradi huo, Waziri Makame amesisitiza kuongeza kasi ya utekelezaji, uwazi, uwajibikaji na kuzingatia taratibu za Serikali.
Lengo: Kuongeza uzalishaji wa maziwa, kipato na ustawi wa wafugaji Zanzibar. 🐄🥛
#CSDTP #KilimoZanzibar #Mifugo #SektaYaMaziwa #Zanzibar