Перейти к содержимому

DKT. SALUM SOUD HAMED AAGA WIZARA YA KILIMO, DKT. HAMAD OMAR BAKAR AKARIBISHWA

kilimo tv

0:00 / 0:00

DKT. SALUM SOUD HAMED AAGA WIZARA YA KILIMO, DKT. HAMAD OMAR BAKAR AKARIBISHWA

17 просмотров · 5 дн. назад
kilimo tv
491 подписчик
17 просмотров · 5 дн. назад
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Dkt. Salum Soud Hamed, amewashukuru watendaji wa Wizara hiyo kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi chote cha utumishi wake, huku akiwataka kuendelea kushirikiana na Naibu Waziri mpya kwa ajili ya kufanikisha majukumu ya Wizara. Kwa upande wake, Naibu Waziri mpya, Mhe. Dkt. Hamad Omar Bakar, amesema yuko tayari kutekeleza majukumu aliyopewa na Mheshimiwa Rais, akisisitiza umuhimu wa umoja, upendo, mshikamano na uwajibikaji katika kuendeleza sekta za kilimo, umwagiliaji, maliasili na mifugo. Dkt. Salum ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, huku Dkt. Hamad akihamia Wizara ya Kilimo akitokea Wizara ya Fedha na Mipango, ambako alihudumu kama Naibu Waziri.