KOROSHO TANI 175,000 ZENYE THAMANI YA BILIONI 682.267 ZAUZWA
KCJE Online
0:00 / 0:00
KOROSHO TANI 175,000 ZENYE THAMANI YA BILIONI 682.267 ZAUZWA
10 просмотров · 3 дн. назад
KCJE Online
9 подписчиков
10 просмотров · 3 дн. назад
Mwenendo wa biashara ya korosho katika minada ya msimu wa 2026/2027 umeendelea kuwa mzuri, huku jumla ya tani 175,000 zenye thamani ya Sh682.267 bilioni zikiuzwa hadi sasa.
Akizungumza kuhusu mwenendo wa minada hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Francis Alfred amesema wanunuzi 60 kati ya 99 yaliyojiandikisha yameanza kushiriki katika minada, hali inayoonesha mwitikio mzuri wa wadau katika msimu huu.
Kuhusu bei, amesema zimeendelea kuwa imara katika wiki tatu za mwanzo za minada, ambapo katika wiki ya kwanza bei ya juu ilikuwa Sh3,430 kwa kilo na ya chini Sh2,970 kwa kilo kwa korosho daraja la kwanza.
Ameeleza kuwa wiki ya pili bei ya juu ilikuwa Sh3,430 na ya chini Sh3,010 kwa kilo, huku wiki ya tatu bei ya juu ikiendelea kuwa Sh3,430 na ya chini Sh3,010 kwa kilo.
Fuatilia akaunti zetu kwa taarifa zaidi:
📘 Facebook: Korosho Cooperative
📸 Instagram: Korosho Cooperative
▶️ YouTube: KCJEOnline
🌐 Website: www.koroshokcje.coop
@ushirika_tcdc
@wizara_ya_kilimo
@taneculimited
@lindi_mwambao_official
@runaliltd_
@gmmamcultd
@tamcultd
@corecultd
@tmx.tz
@cashewnutboard
@mcmaprosoo
@wrrbwrs
#KCJE
#CBT
#ushirikapamojatujengeuchumi