DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 09.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 09.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
3 224 просмотра · Трансляция закончилась 5 часов назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
3 224 просмотра · Трансляция закончилась 5 часов назад
Tuliyo nayo katika matangazo ya jioni
#Viongozi wa ulimwengu wamempongeza navi Pillay kwa kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2026
Saudi Arabia imeapa kujibu kwa nguvu mashambulizi ya Wahouthi baada ya watu watatu kuuawa katika mashambulizi yaliyolenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid mjini Riyadh
#Wakuu wa majeshi kutoka nchi 18 za Afrika wamejitokeza na mkakati wa ushirikiano katika masuala yasiyo ya vita na mizozo
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.