AJIRA SI KIKWAZO TENA! HEET-SUZA YAJA NA MUARUBAINI KWA VIJANA
suza tv
0:00 / 0:00
AJIRA SI KIKWAZO TENA! HEET-SUZA YAJA NA MUARUBAINI KWA VIJANA
540 просмотров · 2 нед. назад
suza tv
903 подписчика
540 просмотров · 2 нед. назад
Kupitia Mradi wa Elimu ya Juu Kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) Katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) vijana wanahimizwa kuona teknolojia kama nyenzo ya kuwawezesha kujikwamua kiuchumi na kukabiliana na changamoto ya ajira.
🎥 Tazama video hii mwanzo hadi mwisho kwa ujumbe muhimu wa Dkt. Abdulrahim kwa vijana.
#SUZA #HEETSUZA #Vijana #Teknolojia #Ajira #UjuziWaKidijitali #Ubunifu #SUZATV# Zanajira#attitude#Education