Перейти к содержимому

October 3, 2026

Habari Picha KMKM online tv

0:00 / 0:00

October 3, 2026

765 просмотров · 4 дн. назад
Habari Picha KMKM online tv
4 тыс. подписчиков
765 просмотров · 4 дн. назад
Mkuu wa kikosi Maalum Cha kuzuia Magendo KMKM Zanzibar Commodore Azana Hassan Msingiri akutana na Wadau wa tasisi na Mashirika mbali mbali ya serekali kujadili mbinu madhubuti za kukabiliana na maafa ya mvua za ALNINO yanayotarajiwa kujitokeza. Kikao hicho kilishirikisha KMKM,ZMA, POLICE MARINE,SHIRIKA LA BANDARI, KIKOSI CHA ZIMAMOTO, Aidha Commodore Msingiri Amesema kwamba wamejipanga vyema Kwa vifaa na rasilimali watu pamoja na kuchukua hatuwa za haraka Kila tukio litakaloweza kujitokeza.