MTU AMBAYE HAJAYAFAHAMU HAYA KABLA MAHUSIANO HAYAJAKOLEA NDIYE ATAKAYEHARIBU ~ Mrs. Deborah Urio
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
MTU AMBAYE HAJAYAFAHAMU HAYA KABLA MAHUSIANO HAYAJAKOLEA NDIYE ATAKAYEHARIBU ~ Mrs. Deborah Urio
9 195 просмотров · 1 г. назад
Hub of Wisdom Inc.
150 тыс. подписчиков
9 195 просмотров · 1 г. назад
Maisha ya uchumba na mahusiano ni safari yenye changamoto na furaha, lakini wengi huingia bila kuelewa mambo muhimu yanayoweza kuharibu kuongeza ladha. Katika video hii, Mwl. Deborah anazungumzia mambo ambayo kila mtu anapaswa kujua kabla ndoa haijakolea, ili kuepuka matatizo na kuhakikisha ndoa imara na yenye furaha.
Je, unafahamu yafuatayo?
✅ Nini kijana afanya au asifanye wakati wa uchumba/kabla ya ndoa
✅ Makosa ambayo huonekana madogo lakini yana madhara makubwa
✅ Namna ya kujenga ndoa yenye upendo, uaminifu na maelewano
🔔 Subscribe kwa H.W Media kwa mafunzo zaidi kuhusu maisha, mahusiano na maendeleo binafsi!
📌 Tazama video nzima na usisahau kushiriki na marafiki zako!
👇 Comment hapa chini – Je, unadhani watu wengi huingia kwenye ndoa wakiwa tayari au bila maarifa ya kutosha? Tuambie maoni yako!
Shiriki nasi maoni yako kupitia katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media
Subscribe ili upate matoleo mengine yanayofuata.
..........................................................................................
Video Credits: Mrs. Debora
#Mahusiano #Mapenzi #LifeSkills #HWMedia #DeboraUrio
#jinsia #mapenzi #malezi #positivevibes #elie #MapenziSahihi #DrEllieWamian #thewisetz #NamnaGaniUmpende #ndoa #falsafa #thewisetz #rejesha #radha #swahili