Перейти к содержимому

BANDA MAJI BILA MAJI! Waziri Asikiliza Kilio cha Wakulima

kilimo tv

0:00 / 0:00

BANDA MAJI BILA MAJI! Waziri Asikiliza Kilio cha Wakulima

12 просмотров · 7 дн. назад
kilimo tv
491 подписчик
12 просмотров · 7 дн. назад
Bonde la Banda Maji, lenye jina linaloashiria uhai, linakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Katika ziara yake, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Suleiman Masoud Makame, amesikiliza kilio cha wakulima na kutoa maelekezo ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto hizo.