Перейти к содержимому

HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA YAWAHIMIZA WAKAZI WA JIJI LA TANGA KUPATA VIBALI VYA UJENZI.

Tangajiji tv

0:00 / 0:00

HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA YAWAHIMIZA WAKAZI WA JIJI LA TANGA KUPATA VIBALI VYA UJENZI.

44 просмотра · 1 мес. назад
Tangajiji tv
226 подписчиков
44 просмотра · 1 мес. назад
Halmashauri ya Jiji la Tanga kupitia Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijiji imeendelea kuwasisitiza wakazi wa Jiji la Tanga kuzingatia taratibu za ujenzi kwa kuhakikisha wanapata vibali vya ujenzi kutoka Halmashauri kabla ya kuanza shughuli yoyote ya ujenzi, hatua inayolenga kuhakikisha maendeleo ya miji yanafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na mipango miji. Pia mkuu wa idara hiyo Ndg. Isaac Mpaki ameendelea kutoa msisitizo kwa wakazi wa Jiji la Tanga kuwa wanapaswa kufuata utaratibu huo ili kuepuka madhara, usumbufu na hatua za kisheria zinazoweza kujitokeza kutokana na ujenzi usiofuata taratibu.