RAIS MWINYI AMETEMBELEA MAONESHO YA DUNIA YA NCHI ZA VISIWA YEOSU KOREA
CTV NEWS TANZANIA
0:00 / 0:00
RAIS MWINYI AMETEMBELEA MAONESHO YA DUNIA YA NCHI ZA VISIWA YEOSU KOREA
82 просмотра · 9 дн. назад
CTV NEWS TANZANIA
175 подписчиков
82 просмотра · 9 дн. назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Maonesho ya Dunia ya Visiwa 2026 (2026 World Island Exhibition Yeosu Korea), ambako amejionea ubunifu, bidhaa na uzoefu mbalimbali unaowasilishwa na washiriki kutoka mataifa mbalimbali.
akiwa na ujumbe wake majira ya Jioni Rais Dkt Mwinyi ameshuhudia mabadiliko makubwa ya Ubunifu wa Nchi za visiwa katika maonesho hayo ya kimataifa yanayobadilisha Sura ya Dunia kila Mwaka,