BODABODA, MACHINGA KUTOFANYA KAZI DESEMBA 9
Nipashe Digital
0:00 / 0:00
BODABODA, MACHINGA KUTOFANYA KAZI DESEMBA 9
206 просмотров · 9 месяцев назад
Nipashe Digital
6,75 тыс. подписчиков
206 просмотров · 9 месяцев назад
Maofisa wasafirishaji ' bodaboda na wafanyabiashara' machinga' wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema Desemba 9,2025 hawatafungua shughuli zao baada ya kuwepo kwa taarifa za maandamano yanayoratibiwa kinyume na utaratibu.