Перейти к содержимому

AJALI MBAYA NJOMBE: WAWILI WAFARIKI AKIWEMO BOSS wa MBAO BAADA ya LORI KUPINDUKA - KAMANDA AELEZA...

Global TV Online

0:00 / 0:00

AJALI MBAYA NJOMBE: WAWILI WAFARIKI AKIWEMO BOSS wa MBAO BAADA ya LORI KUPINDUKA - KAMANDA AELEZA...

11 448 просмотров · 2 г. назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
11 448 просмотров · 2 г. назад
AJALI MBAYA NJOMBE: WAWILI WAFARIKI AKIWEMO BOSS wa MBAO BAADA ya LORI KUPINDUKA - KAMANDA AELEZA... Watu wawili akiwemo mmiliki wa shehena ya mzigo wa Mbao bwana Juma Joseph uliokuwa ukisafirishwa na Lori la mizigo wamefariki dunia baada ya Lori hilo kupinduka katika eneo la Kibena Chai karibu na bwawa la Lihogosa mjini Njombe barabara ya Njombe - Songea. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo baada ya Lori hilo aina ya Scania lenye namba za usajili T 539 DWK yenye tela Namba T 283 DWQ iliyokuwa ikiendeshwa na Bryson Kihombo ambaye naye amefariki dunia. Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx