Перейти к содержимому

Ajali za barabarani kwenye mataifa ya Afrika Mashariki

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

Ajali za barabarani kwenye mataifa ya Afrika Mashariki

182 просмотра · 2 дня назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
182 просмотра · 2 дня назад
Kila mwaka mamia ya watu wanapoteza maisha na maelfu wengine wanabaki na ulemavu wa kudumu kwa sababu ya ajali za barabarani kwenye kanda ya Afrika Mashariki. Takwimu zinaonesha katika kila vifo vya watu laki moja vinavyotokea kwenye nchi moja moja za Afrika Mashariki, basi 20 hadi 27 ni kutokana na ajili za barabarani. Mafunzo duni kwa madereva, kupuuzwa sheria za usalama barabarani, miundombinu isiyokidhi viwango, rushwa, ulevi na uchakavu wa vyombo vya moto ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kueneza ajali hiyo. Ndani ya jamii kuna hisia ya kukata tamaa, kiasi walio wengi wanaamini hakuna njia ya kumaliza balaa la ajali za barabarani. Lakini kikwazo kiko wapi?